Mtoto abakwa Uwanja wa Fisi

|

Jana tarehe 30 Machi nilikuwa nikipitapita pale uwanja wa fisi nikasikia vijana wakisemasema kuwa kuna mwenzao aliyemchukua mtoto mdogo akaenda naye.

Mtoto huyo alimwelezea kuwa alifukuzwa kule anakofanyia kazi za ndani alipofukuzwa akawa anahangaika huku na huko mara akaibukia uwanja wa fisi akakutana na huyo kijana ambaye alimwelezea matatizo yake. Huyo kijana akamuuliza anatokea wapi mtoto akamjibu kuwa anatokea Singida. Hapo akamwambia kuwa yeye ni kaka yake kwa hivyo akaenda naye hadi kwake.

Mtoto alipoamka asubuhi akiwa anakunywa chai mgahawani watu waka mwona amechafuka damu na hawezi kutembea wakaanza kumuuliza amepatwa na nini. Huyo mtoto akawaeleza habari yote. Mimi nilipoulizia huyo mtoto yuko wapi nikaonyeshwa yule pale, nikaenda kumwambia akimaliza kunywa chai aende pale kwenye kontena maana anaitwa. Alipofika pale akatoa habari zake na hapo hapo akapokelewa na nilisikia wakisema watampeleka Bunju ambapo kuna kituo cha kuwasaidia watoto wenye matatizo kama hayo.



Those who do not know about

Those who do not know about this before, can get useful information from this post, this one seems to me as another type of post .... and I want to say that way, as you tried to explain some posts here it seems to me the different ... There are, of course, in various positions in here, but I didn't find any post in connection with projects like 225-020... If someone has information about it, tell me! Well, all the updates related to this position? if so, tell me! I actually came here while surfing online for information related to the project 250-101 and find this post different one ... Is there anyone having information on the 250-222 , 250-240?, If so, what to do, tell me! ... any updates, and if so, what tell me!